|
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Mwanasiasa wa Ufaransa-Colombia, Ingrid Betancourt, amekuwa akitoa shukrani kwa watu mbalimbali, baada ya kurudi Ufaransa,
kufuatia kuokolewa mikononi mwa watu waliomteka nyara.
|
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, amesema upinzani hauna budi kutambua kwamba yeye ndiye rais, akimaanisha Morgan Tsvangirai,
kabla ya mashauri yoyote kufanyika kati ya pande hizo mbili.
|
Aliyekuwa makamu wa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean-Pierre Bemba, amefikishwa mbele ya mahakama ya The Hague,
kujibu mashtaka ya uhalifu na ukatili dhidi ya binadamu.
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Kampuni ya magari ya Tata Motors yenye makao yake makuu nchini India, inaunda gari jipya la bei nafuu zaidi duniani.
SPORT
Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Jumamosi ijayo itayachambua mashindano mapya ya CAF barani Afrika.
|
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||