BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Utalii Tanzania: Benki ya Dunia yasitisha kwa muda ufadhili wa mradi wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha
Taasisi ya Oakland iliitaka Benki ya Dunia kusitisha fedha hizo mara moja ikiishutumu Tanzania kwa kunyanyasa jamii zinazoishi karibu na maeneo ya mradi.
Makorongo makubwa yanayomeza maeneo kote ulimwenguni
Ili kukomesha mmomonyoko wa udongo, miji inabidi kujenga mifumo ifaayo ya mifereji ya maji ili kudhibiti mtiririko wa maji ya mvua na maji taka
Je, Israel itaiburuza Marekani kwenye vita vikali huko Mashariki ya Kati?
Israel inaonekana kutaka kupanua vita kutoka Gaza hadi Lebanon na pengine Yemen na hata Iran.
Wasiwasi huku Rwanda ikijiandaa kuwasili kwa wahamiaji wa Uingereza
Makazi ya Hope Hostel nchini Rwanda yako tayari kupokea wahamiaji wasiotakiwa kutoka Uingereza kwa siku 664.
Kigimbi: Kwa nini msuli huu unaoitwa 'moyo wa pili' ni muhimu sana?
Kigimbi ni mojawapo ya misuli muhimu katika mwili. Sio tu kusaidia kuweka sawa mwili, lakini pia ina jukumu muhimu katika mzunguko wa damu.
Mswada wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda kuwa sheria baada ya miezi kadhaa ya mabishano
Muswada mkuu wa Rishi Sunak wa Rwanda unatarajiwa kuwa sheria baada ya miezi mitano ya mzozo wa ofisi ya waziri mkuu wa Uingereza na bunge katika Westminster.
Msaada wa $61bn wa Marekani unamaanisha nini kwa Ukraine?
Kwa hivyo ni silaha gani ambazo Ukraine inaweza kupokea na ni tofauti gani zitaleta katika kujaribu kuzuia mashambulizi ya Urusi?
Je, Marekani inapendelea uwepo wa taifa huru la Palestina?
Palestina ni nchi isiyo mwanachama ambayo ina hadhi ya mwangalizi katika Umoja wa Mataifa.
Ni silaha gani muhimu zinazohitajika na Ukraine kuzuia kasi ya Urusi?
Ni aina gani ya uhaba wa silaha na risasi utakaowakumba wanajeshi wa Ukraine iwapo bunge la Marekani litaendelea kuchelewesha upelekaji wa misaada kwa Ukraine?
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Glaucoma: Ugonjwa hatari unaopoteza nuru ya macho
Ni muhimu sana kutambua na kutibu glaucoma katika hatua zake za mwanzo, vinginevyo kuna hatari ugonjwa huo kukuwa na kusababisha kutoona.
Je, nguvu za kijeshi kati ya Iran na Israel zinalingana vipi?
Matumizi ya ulinzi ya Israel ikilinganishwa na Pato la Taifa pia ni maradufu ya Iran.
Je, mzozo kati ya Israel na Iran unaweza kusababisha Vita vya Tatu vya Dunia?-Gazeti la The Independent
Ni kwa kiasi gani mwelekeo wa mzozo wa sasa kati ya Israel na Iran unaweza kupanuka na kugeuka kuwa vita vya tatu vya dunia.
Je,shambulio la Israel dhidi ya Iran linaonyesha nchi hizo hazifahamu uwezo wa kila mmoja kijeshi?
Ikiwa shambulio la Isfahan halitafuatiwa na mashambulizi zaidi, basi mvutano wa utapungua haraka
Israel yatoa ulinzi kwa nchi zilizoisaidia kuzuia mashambulizi ya Iran - Jerusalem Post
Israel inawakilisha "chombo cha mfumo wa usalama" kwa nchi zilizoisaidia.
Je, Mmiliki wa TikTok yuko tayari kupoteza programu yake maarufu?
Uza au upigwe marufuku - Shughuli za TikTok za Marekani, kulingana na makadirio , zinaweza kufikia dola bilioni 100.
Kwa nini Jordan ilikosolewa baada ya mashambulizi ya anga ya Iran dhidi ya Israel?
Uamuzi wa Jordan wa kuunganisha nguvu na Marekani, Uingereza na Ufaransa kuzuia ndege zisizo na rubani na makombora yaliyorushwa na Iran dhidi ya Israel usiku wa Aprili 13 ulikabiliwa na hisia kali ndani ya nchi.
Mtu wa nne duniani mwenye figo nne apatikana nchini Somalia
Kuna watu watatu pekee wenye figo za ziada zilizorekodiwa duniani kote na mtu wa nne amepatikana nchini Somalia.
Chris Oyakhilome: Mchungaji wa Nigeria anayesambaza nadharia potofu dhidi ya chanjo ya malaria
Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, kampuni ya Mchungaji Oyakhilome pia imetoa takribani filamu tano za dakika 20 za kupinga chanjo.
Isfahan - mji wa kimkakati wa Iran ambapo milipuko ilisikika
Mji huu unajulikana kwa majumba yake, misikiti ya vigae na minara, Isfahan - ambapo milipuko ilisikika usiku kucha - pia ni kituo kikuu cha tasnia ya kijeshi.
Upandaji kemikali mawinguni ni nini na Je, ulisababisha mafuriko ya Dubai?
Dubai imekumbwa na rekodi ya mafuriko katika muda wa saa 24 zilizopita, na kuzua uvumi wa kupotosha kuhusu upandaji wa kemikali kwenye mawingu (cloud seeding).
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 24 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 23 Aprili 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 23 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 23 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki